Nilikuwa juu ya jukwaaa nikifanya vitu vyangu ili hali nikijua kabisa
watu wote waliokuwa wakinitizama walikuwa wanaumia roho kutokana na
mvuto wa umbo langu niliokuwa nao. Nilisikia mijibaba miwili ikiulizana
hivi lile wowoo ni la kwake au ni la mchina? Mmoja wao akaropoka “wee
kitu original hicho, kwani umemsaahau huyu binti tulishakutana nae kule
Arusha mpaka tukambatiza jina la soda kubwa tena ya fanta yaani
BAMBUCHA.?” Yeah nimekumbuka alidakia mwanaume wa tatu waliokuwa nao.